Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau mke wangu ni form four leaver ya 2008 na ana points 29 lakini familia zetu za kibongo kwao hawakumuendeleza na nimekuja kumuoa hajasomea fani yoyote ila life la kunitegemea mimi tu kiujumla ni gumu.
Sasa nipo naye Dar es Salaam na kiukweli mimi uwezo wa kifedha ni mdgo. Hana utaalamu wowote kiukweli ila anaweza fanya kazi zote zisizo za kitaalamu mfano kuuza duka au kama wadau atakayokuwa nayo ntashukuru.
Kwa mawasiliano ni 0716060380 na Dar tunaishi Tabata.