Wakuu,,,ni mara ya kwanza kuitwa kwenye interview,nmeambiwa ni aptitude!,,nini maana yake?,nliomba storeman position,nijiandae kwa lipi?,,naomba ushauri hapa
Interview ya kuandika. Mara nyingi maswali hua ni general understanding na sio professional. Ila kujiweka nafasi nzuri zaidi jiweke sawa kwenye mambo yanayohusu hiyo position na tafuta habari za hiyo taasisi ili uijue vizuri na uwe na nafasi nzuri ya kujibu maswali yanayoihusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.