Kupata ajira za procurement inabidi kwanza ufanye mitihani ya bodi?

Kupata ajira za procurement inabidi kwanza ufanye mitihani ya bodi?

anna bubelwa

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
40
Reaction score
10
Nimefanya interview jana utumishi bt mwajiri ni PPRA swali langu ni kuwa, nimesikis sasa hiv mtu yoyote aliesoma procurement hawezi kuajiriwa as procurement oficer au kwenye field yoyote inayohusika na procure kama hajafanya mitihani ya bod ya procurement.

Je hili swala lina ukweli ndani yake coz mimi sijafanya mitihani ya bodi.
 
Nimefanya interview jana utumishi bt mwajiri ni PPRA swali langu ni kuwa et nimesikis sasa iv mtu yoyote aliesoma procurement hawez kuajiriwa as procurement oficer au kwenye field yoyote inayohusika na procure km hajafanya mitihan ya bod ya procurement.je hil swala lina ukwel ndani yake coz mm cjafanya mitihan ya bodi

Nikweli kabisa kuna waraka huo kua mwenye degree ya procurement anapaswa kua na CSP pia muhasibu anatakiwa kua na CPA ...banker nae anatakiwa kuja. Na CPB
 
mmmmmh vip na wale walioko makazin?asa kwann wanawaita watu interview wakat wanajua hawana vigezo km sio kuchoshana.
 
ninacho fahamu mimi nikua lazima uwe umesajiliwa na board sio lazima ufanye mitihani ya board. ila kama hauna CSP au CPSP huwezi pata nafasi za juu za procurement. board wanasajili hata mtu ambaye ajafanya mitihani yao ila unakua katika Graduate category.
 
True data
 
Nimefanya interview jana utumishi bt mwajiri ni PPRA swali langu ni kuwa, nimesikis sasa hiv mtu yoyote aliesoma procurement hawezi kuajiriwa as procurement oficer au kwenye field yoyote inayohusika na procure kama hajafanya mitihani ya bod ya procurement.

Sio kweli ndugu ila unapaswa kusajiliwa na bodi ya wagavi kulingana na elimu ulionayo.kusajiliwa na bodi so lazima kufanya mitihani.

'PROCUREMENT VALUE FOR MONEY'
 
Cha ulazima in kusajiliwa na bodi ( PSPTB ) Kufanya mitihani sio lazima. Ila tambua kwamba mtu mwenye CPSP ana added advantage mnapoenda kwenye interview. Anakua na a point ahead of you so anaweza akachukulia kwa sababu tu kakuzidi kwa hilo
 
Sasa registration mpaka huko september baada ya matokeo yote, sasa tutakula mawe mpaka huko? Nafasi za kazi zitupite kisa hilo?

Nna swali la msingi hapa, ukijisajili na bodi unapewa nini kujulikana wewe umesajiliwa?
 
Unapewa certificate of registration under your category eg graduate, approved, authorised au fellow....nenda kwenye website ya PSPTB utakuta huo walaka.....bt plz fanya mitihani ya CPSP acha uvivu
 
Back
Top Bottom