Job post

Job post

kirema

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
42
Reaction score
12
Salama jamani.
..

Wakuu kuna nafasi ya kazi kwa mtu akiyesoma au baada ya degree ya kwanza kupita chuo cha kodi (ITA) au chuo cha Usafirishaji.Kampuni moja ya uwakala wa forodha ya kitanzania inatafuta Cistoms Declaration officer

Umri miaka kati ya 22 na 35yrs.Awe mtanzania.Elimu ya degree /diploma ya Procurement and Logistics akiwa kapita chuo cha kodi au cha usafirishaji itakuwa added advantage. UZOEFU at least 2yrs on the same or related field.

Ladies are encouraged.

Kwa wenye sifa watume Cv kwenye. recruitment2@yahoo.com
 
We sema wataka details za watoto wa kike tu huna lolote

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Sikulaumu ndo uwezo wako wa mwisho kufikiri....labda pia we kula kulala hujajua umuhimu wa kazi...acha wenye sifa waapply
 
napita tu wakuu kweli muda mwingine mnafurahisha mpk najikuta nacheka peke yangu. but ndizo changamoto hizo
 
Back
Top Bottom