Wadau nimeamua kuacha kazi baada ya mizengwe kuzidi kazini..Najua si busara kuacha kazi ikiwa hujapata kazi lakini naomba tu mnielewe mizengwe ilinifika kwenye koo.Sijutii uamuzi wangu..nashukuru nimeokoa roho yangu.natafuta kazi ya IT assistant/ naweza kua assist kama asistant network administrator..nina diploma ya Information technology..na experience ya miaka 8..nime base sana kwenye kazi za user support.Nina uwezo wa ku support zaidi ya users 50 kwa siku.Atakae guswa anisaidie email yangu
ni-mpwa50@gmail.com