Wakubwa heshima kwenu mimi ni binti nayeishi kwenye mazingira magumu sana lakini napambana bila kuchoka sababu naamini kua changamoto ndizo zinipazo akili na uwezo mpana wakufikiri.
Sina wakumtegemea hapa mjini nafaiti mimi kama mimi na MUNGU PEKEE ndie anipaye uwezo na matumaini yakuishi nimepambana bila kuchoka mpaka nikafika hapa nilipofika.
Japo bado nina ndoto kubwa sana ila naamini ntafika tu na siku moja ntafanikiwa nakua mtu mwenye hadhi flani katika jamii. Kiwango cha elimu yangu ni degree na bado nasoma naingia mwaka wa mwisho mwezi November nachukua degree ya social work.
Lengo langu hasa la post hii ni kuwataka mnilink popote pale niweze kuvolunteer nitafute ujuzi i mean experience nina uwezo wa kufanya kazi katika mambo yafuatayo nikiwa kama social worker: mambo hayo ni : counseling, health education HIV AIDS, MALARIA AND DRUG ABUSE, working with disantaged groups,dealing with rulal community problems,providing services to vulnerable childrens and marginalized groups nayote yahusuyo social issues.
Tafadhalini nawaomba mnipatie iyo nafasi ya kuvolunteer najua JF inawatu wakubwa sana wenye nafas zao na wenye utu kwayoyote alogoswa na mwenye uwezo wakunisaidia iyo nafasi ya kuvolunteer anifikirie tafadhali.Mimi ni binti chapakazi wala hutojutia kunisaidia kwani nawajibika ipasavyo.
Natumai mtanifikiria na kunisaidia maana sina conection yoyote ile samahanini kwa kuwachosha .
Ahsanteni