Mwakih
Senior Member
- May 16, 2011
- 168
- 54
Nilikua kimya ila Mungu ameisha fanya njia pasipo na njia. Ajira imeisha patika tena ktk fild yangu niliyosomea. Mungu anajibu kwa wakati wake pia jinsi nilivyoipata bila shaka ni Mungu mwenyewe kanipa hii kazi.
Kama kunawatu tulifunga 21 days afu hawajapata kazi tujulisha Mungu yupo tutamuuliza tatizo nini. Kunawatu walisema hampati lakini walisahau kua tunamuomba Myngu na kua wao ni wanadamu . bac bwana wa majesh kaisha jibu sifa na utukufu vimwendee yeye.