Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

mimi nina elimu y kidato cha sita nawaomba wana jamii mnisaidie niweze kupata kibarua kama kuuza duka,kuhudumia coffee shop,supermarket please naomba tusaidiane kulijenga taifa
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwenye taarifa kuhusu tbs.atujuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvini naomba kufahamu haki za mfanyakazi anayeachishwa kazi na muajiri (ridandasi). Ni haki zipi za kisheria anapaswa kupatiwa. Pamoja sana.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Please see attachment for details. If you meet the minimum requirements, kindly send CV only (no attachments for now), before 22.08.14
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nahitaj kuwa askar polisi bt nahofia sana ikiwa full time unapaswa kuvaa sale hata ndugu zangu si watanitenga jamn kwa mwenye uelewa juu ya hili.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naamini kwamba kila mmoja wetu hapa anajua ni jinsi gani ilivyo ngumu kupata kazi. Hivi sasa imezoeleka kabisa kuwa kupata kazi ni lazima ubebwe, au uwe na ndugu yako mkubwa serikalini...
11 Reactions
30 Replies
13K Views
kutokana na taarifa zilizonifikia hapa nilipo ni kwamba wale wa uhamiaji wameitwa ili kuanza kazi , naomba kujua ukweli wake upoje.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Please see the attached description and send your CV - Only if you meet the minimum requirements
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Habari wanajamvi ningependa kuuliza ofisi za GL yaan generator logistic wanahusika na mambo ya minara upande wa power transmission je zinapatikana wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello!. DO U WANT TO MAKE MONEY WTHOUT ENTERFERING UR DAILY ACTIVITIES?! kuna Success Busines plan dat u can do part tym n earn upto 1.2milion monthly. QUALIFICATIONZ:- * mtu yeyote yule abv...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ISACA is not an educational institution but the governing body for the CISA, CISM, CGEIT and CRIS certification programs. To view information on the CISA Certification Program including exam...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta kaz waungwana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JOB OPPORTUNITIES ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES: FLUENT IN ENGLISH SPEAKING LABORATORY TECHNICIAN; 1 Post Diploma holder BRING YOUR...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Title: Senior Housekeeping Supervisor Gross Salary: 600,000 – 400,000 TSHS Working days: 7 days a week Responsibilities for the Position: • Assist the General Manager in leading and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ameniambia kuwa wameshanza training uhamiaji kwa zile kazi zilizovunja record ya watu 20,000 kuaply. Hivi ile kamati ya uchunguzi imemaliza kazi yake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Awe mtanzania,umri usiozidi miaka 45,awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea awe na uzoefu wa kuandaa taarifa za fedha katika taasisi za fedha au vyama vya ushirika lazima awe ana jua kutumia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu! Leo kuna mahali nilikuwa nafanya interview kwenye mahojiano (oral) kuna swali la kwanza kbs ukiingia unaulizwa " je kuna mtu unafahamiana nae/nao ktk hii panel? Nikajibu then...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau,napenda kuuliza update za nafasi walizotangaza nssf za operation officers kama wameishaita interview asanteni
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Up date zozo te kuhusu TIB BANK!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi kwa tetesi kutoka kwa mtu wa ndani tra kaniambia kua zile nafasi walizotangaza watu wameshaitwa ofsn kutokana na majina yaliokua reserved suala langu ni kwanini walituambia tuombe
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom