Mhasibu anahitajika mwanza saccos

Mhasibu anahitajika mwanza saccos

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Awe mtanzania,umri usiozidi miaka 45,awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea awe na uzoefu wa kuandaa taarifa za fedha katika taasisi za fedha au vyama vya ushirika lazima awe ana jua kutumia vizuri kompyuta tuma kwa mwenyekiti mwanza saccos p o box 11445 nyamagana mwanza. Mwisho wa kutuma tarehe 25 /08/2014
 
Chanzo cha taarifa ni wewe mwenyewe au tunawezakuipata na sehemu nyingine kwa kina?? Maombi yaandaliwe kwa lugha gani na inawezakuletwa kwa mkono??
Shukrani kwa taarifa in advance.
 
Chanzo ni mimi maana ndio mhusika na sehemu nyingi za mwanza nimebandika matangazo mbao A matangazi za jiji la mwanza, ukuta za ofisi za mkuu wa mkoa jirani na TRA,soko kuu, chuo cha ushirika mwanza , bench la nera na sehemu mbali mbali.Maombi unaruhusiwa kuleta kwa mkono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom