Ni wakati gan Askari huvaa sare?

Ni wakati gan Askari huvaa sare?

M.J

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
27
Reaction score
3
Nahitaj kuwa askar polisi bt nahofia sana ikiwa full time unapaswa kuvaa sale hata ndugu zangu si watanitenga jamn kwa mwenye uelewa juu ya hili.
 
ngoja nitafute namba ya mkuu wa polisi umpigie umuulize.....
 
avatar170008_9.gif

ACHA KUPIGA CHAPO
 
Mkuu suala la kuvaa uniform kwa askari ni compulsory wakati unaingia kazini..i mean siku ukiwa unaingia job mpaka unatoka unatakiwa uvae gwanda..kwaiyo inategemea na sehemu utakayokuwa unaishi.mfano kama ofisi ina mahali pazuri pa kutunzia nguo zako za kazi unaweza kuzitunza then unapoingia job unavaa nguo za kawaida kutoka nyumbani ukifika ofisini unabadilisha unapiga gwanda hali kadhalika unapotoka job..ila hii inaruhusiwa ukishazoea sana mazingira ya kazi na kufahamiana vizuri na wakuu wako wa kazi vinginevyo itakuwa ni utovu wa nidhamu..
 
Yeah...ERICK YUSTO yupo sahihi, nirahisi tu kama hupendi unabeba uniform kwny mkoba au unaziacha ofisini then unapoingia kazini unavaa. Pia kuna vitengo unavoweza kuvaa kiraia,kama vile kitengo cha habari,investigation(CID),forensic bureau,anti terrorist,anti robbery,etc.
By the way why shouldn't u feel proud of ur career? Ndo nyie mnafata mishahara na vitengo vizuri...ukivikosa unaanza kula rushwa!
 
Back
Top Bottom