Chizoka
Member
- Jan 1, 2014
- 29
- 21
Habari zenu!
Leo kuna mahali nilikuwa nafanya interview kwenye mahojiano (oral) kuna swali la kwanza kbs ukiingia unaulizwa " je kuna mtu unafahamiana nae/nao ktk hii panel?
Nikajibu then maswali mengine yakaendelea. Baada ya kutoka kuuliza nini maana ya hilo swali nikaambiwa:
"Nia ni kutaka kujua uaminifu wako so kama kuna mtu unafahamiana nae usisite kujibu ndio"
Ni hilo tu kwa waliokuwa hawajui kama mimi.