HAKI YA KUACHISHWA KAZI-Redundancy

Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
90
54
Wanajamvini naomba kufahamu haki za mfanyakazi anayeachishwa kazi na muajiri (ridandasi). Ni haki zipi za kisheria anapaswa kupatiwa.

Pamoja sana.
 
hamna chama cha wafanyakaz hapo? kama kipo nenda kareport hyo matter, wao watafanya taratibu za kwenda CMA, kama hamna jaribu nenda CMA mwenyewe watakuelekeza zaidi, pale ndo utaelekezwa kama ELRA inavyo sema kuhusiana na unfair termination...
 
CMA ndo akina nani? wapo kila mkoa?
 
Commission for Mediation and Arbitration, wapo kila mkoa ndio...na wako chini ya wizara ya kazi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom