Kuna ugonjwa huu umeingia kwa vijana kushinda JF na Facebook wakijifanya wanasiasa wakitukana na kukejeli wakubwa,,, wakilalamikia ajira nchini hakuna (ni kweli) lakini nigewaomba kitu kimoja...
Natambua kuwa kuna vijana wengi sana ambao wamemaliza masomo yao lakini bado hawajapata ajira na wanatamani ipo siku watapata ajira. Pamoja na juhudi wanazozifanya, naomba nisiwe mchoyo wa mawazo...
Heshima zenu wakuu. mimi nipo dar maeneo ya ubungo na nina jenereta langu aina ya tiger saiz ya kati imegoma kabisa kuwaka na tangu niinunue ina miez minne tu. kwa iyo naomba mnielekeze sehem...
Habarini wakuu nilikua na shemeji yangu alikua anahangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka miwili lakini mwaka huu mwezi february aliitwa kwenye usaili na hivi juzi kapigiwa simu...
Habari zenu,nimebahatika kuitwa kwa ajili ya interview kampuni inaitwa Keys marketing ila siijui malipo yake na utendaji kazi wake ukoje, kwa yeyote anaeijua naomba anisaidie kunifahamisha.
Habari zenu wana jamvi natafuta mtu mwenye sifa tajwa hapo juu. Nitafurahi kama atakuwa mwandishi wa habari au ata kama anaweza kufanya kazi hizo hapo.
MASHARTI.
1. AJI KUAJIRIWA ILA...
Mimi ni kijana,mwanafunzi katika moja ya vyuo vya afya hapa nchini.Naomba kwa yoyote mwenye nafasi ya kazi aniajiri niifanye kwa muda huu wa likizo wa miezi miwili
Ninaweza
1:Kufundisha kidato...
Napenda sana kujiunga na jeshi la police.Nikiwa chuo 2013 nilijaza form lakini sikuitwa kwa sasa niko mtaani form za kujiunga zimetoka kwa wahitim tu.Je tulioko mtaani na tunamoyo wa uzalendo wa...
Jobs at Government Procurement Services Agency , August 2014
The Government Procurement Services Agency (GPSA) was established under the Executive Agency Act CAP 245 R.E 2009 and came into effect...
Habari Mdau.
Haya ni majina ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili wa Jeshi la polisi......Vijana hawa ni wa kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014.......Hebu ingia hapa uyaone...
Jamani wadau habari zenu, mm ninaswali moja nilikua naomba mnisaidie kuhusu hiz nafas za wahitimu wa kidato cha sita na ualimu, je kuna uwezekano wa raia wa kawaida kujiunga nao kama mtu...
Wadau Habari za leo
Tafadhali sana naomba anayeweza kuniambia Mshahara wa Afisa/ mtumishi anayefanyia Bandarini yaani Scale ya TPS-2 ni sawa na kiasi gani za Kitanzania??
Nashukuru sana kwa msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.