Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

kazi gan dada yangu na back graund ya elimu yako coz kuna nafac za kazi
 
me nadhani hizi ID za kike zinawalinda hususan nyie akina dada hapa JF..angekuwa ID yakiume/haieleweki ungeona kejeli matusi na kashifa.. anyway Rose elezea vizur professional yako elimu yako..au unaogopa kujianika? mtafutaji achoki akichoka kapata hasa kwa style hyo utachoka mapema...#usilale mlango waz et kisa mungu yupo anakulinda..jisaidie na wew usaidiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom