Hello wakuu,
Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira.
Na tetesi zinasema...
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii.
Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari.
Gari ya...
Habari, kama heading inavyosema haina haja ya kujaza seva za jamiiforums.
procedures zikoje A to Z, gharama, bahasha ni yoyote tu, au wanataratibu zao.
Habari Wadau.
Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
Anatafutwa kijana mmoja wa mauzo na masoko kwa ajira ya mkataba wa muda mfupi.
Vigezo: Awe na uelewa na maswalawala ya forodha (uagizaji na uondoaji wa mizigo bandarini)
Jinsia ya kike au kiume...
Are you working to stop the spread of false information in Africa? Whether you're a working journalist, a student or a professional fact-checker, your commitment to facts deserves recognition...
MAPADA SOAP LTD
NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko
IDADI: Nafasi moja (1)
MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam
MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya...
Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo...
Unapofanikiwa kufaulu written/alternative practical na kwenda hatua ya oral interview Basi jiandae hivi unapokuwa mbele ya panel
1.kama kada yako inahusisha kazi ambazo Mara nyingi mtakuwa site...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni...
Wadau mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari niliacha kazi kama miaka minne iliyopita, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi.
Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi...
Heshima kwenu nyote.
Nimeamua kuanza maisha mapya baada ya kukaa nyumbani kwa muda sasa.
Sina chochote ninachomiliki kama asset na comfort zone imekuwa kikwazo kikubwa sana kwangu kiasi cha...
Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yoyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati...
Anahitajika Secretary/Receptionist mwenye uzoefu wa miaka miwili na kuendelea, Mwenye Kujua kusoma na kuandika kiingereza vizuri, Uwezo wa kutumia kompyuta hasa microsoft office package, nadhifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.