Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona
---
TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015.
TANGAZO LINASEMA HIVI:
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...
Kuna interview ilofanyika tarehe 26 mwezi wa 4 pale DUCE.Hawa Jamaa wakaahidi kutoa majibu hapa karibuni Ila hawajafanya hivo mpaka Leo.
Ni vema wangetoa matokeo mapema maana kuna watu tumetoka...
Dereva Uber/Bolt
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo...
Wakuu habari.
Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu.
Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba...
Wakuu
Niko nyavuni na hawa jamaa wa utumishi,by 14 June natakiwa kupiga written ya admission officer ii mwajiri ni NACTEVET.
Mwenye kujua maswali ya written wanayouliza hawa jamaa wa utumishi...
Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo...
Jamani habari za muda huu.. leo kijana wangu alikuwa kufanya usaili wa kuandika chakusikitisha zaidi kaludi analia anasema kama ndo utungaji huu basi kupata kazi ni kazi.
Nikamuuliza, kwani...
Wiki iliyopita Jumaanne ilikua ni deadline kwa nafasi za Technicians pale Princess Casino
Kuna yeyote humu kashapokea simu ya kuitwa kwenye usaili ?
#Wasiwasi ndo akili
MAN TO MAN – TUSAIDIANE NDUGU ZANGU
Wanaume wenzangu, hebu tusemezane kama wanaume wa kweli. Kila siku tunahangaika, lakini wapo wenzetu wana ka-michongo kazuri kenyeweza kumtoa mtu mtaani hadi...
Salaaaam wana JamiiForums
Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye...
Wakuu
Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi?
Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani.
Wakt nimemaliza kufanya...
Vigezo awe anatokea kijijini, hatumii simu, umri chini ya miaka 20, hana mtoto, anaweza kufanya kazi zote za ndani.
Kuandaa watoto kwenda shule na kuwapokea.
Mshahara maelewano
Awe tayari...
Habari wakuu .
Yupo Kijana Ana hizi sifa
Miaka 18
Elimu form four Ila hakufaulu.
Uzoefu wa kazi
Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani.
Kuuza dukani
Kuhusu mdhamini yupo mama yake...
Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be...
Ndugu zangu kwema poleni na majukum.
mimi operator wa excavator mzoefu
naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest...
NAOMBA NAFASI YA KAZI
Habari, wakuu
Mimi ni kijana mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi. Ingawa sina elimu ya vyeti, nina uwezo mzuri wa kujifunza kwa haraka na kufanya kazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.