Dogo ni mwalimu idara ya msingi,
Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano)
Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA.
Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na...
Gharama za posho za uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda nyingine ni kiasi gani? Na je halmashauri utokayo hutalipwa chochote?
Nazungumzia uhamisho wa serikali
Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa.
Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita.
Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa.
Elimu yangu ni...
Wakuu wasaalaam !
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge.
Kwa yeyote aliye na...
Habarini ndugu, natumaini wote humu mko salama kabisa na wazima wa afya.
Nahitaji nipate proposal writter mzuri ambae nitaweza kufanya nae kazi sambamba katika uandishi wa proposal mbalimbali...
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd...
Ajira Portal - 2 Research, Science & Biotech Vacancies Available
New opportunities are now open for professionals in the fields of science and education through Tanzania’s vocational training...
Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available.
Several new academic and technical vacancies have been announced in Tanzania’s livestock and fisheries training institutions...
New job vacancies have been announced in Tanzania's maritime and technical education sectors, offering exciting opportunities for qualified professionals. The Tanzania Fisheries Corporation...
Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne.
Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni...
Habari wakuu,
Ningependa kujua mishahara ya tutorial assistants kwa vyuo vya umma kama UDSM, Ardhi, UDOM n.k
Pia naomba kujua na other benefits (packages) outside basic salary
Natanguliza shukrani
AWA YA KUFAULU APTITUDE TEST IMEPATIKANA
Introduction to Psychological Traps in Aptitude Testing
Question perspective
Prepared by: Naaam (Meet Me)
Purpose: they use over 200 techniques in...
Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree.
Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi...
Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs
Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I...
Are you ready to make a meaningful impact in Tanzania’s education, fisheries, livestock, and municipal sectors? The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Handeni Town Council...
JOB VACANCY
Precision Air Services Plc is a fast
growing private Tanzanian airline which
operates in Partnership with Kenya
Airways, with its strategies to expand
wings beyond East Africa and...
CAREER MASTERY HUB – APTITUDE TEST RESOURCES
#Aptitudetest
#CommunicationofficerII
#InformationofficerII
Job Title:. Communication Officer
Level: Undefined (varies by agency)
Test Type...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.