Habari za asubuhi wapendwa.
Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba...
Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo...
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za...
Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania...
Habari wadau. Nahitaji binti mwenye uzoefu na KAZI ya kuuza VIFAA VYA ELECTRONICS.
ENEO LA kazi ni Kahama.
Sifa
Umri kuanzia 18 _ 30
Ajue kusoma na kuandika
Awe na mdhamini mwenye Mali...
Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content...
Mazeee, wale ambao msha fanyiwa oral ya hizi nafasi za TRA, interviews ambazo zianendelea tupeni habari basi mambo yakoje huko?
Tupeane nyago za kutoboa aseeee
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi...
Wadau wa JF ,naomba mnisaidie ni hatua gani za kufata kuweza kusajili na kumiliki kampuni ya mikopo ,pia ni gharama kiasi gani zinahitajika mpaka kukamilisha kabisa usajili wake .....
P.o. Box 4278,Mbeya
labaisa46@yahoo.com
14/05/2025
Mkurugenzi wa Masoko
Kampuni ya vifaa vya ujenzi :
Tanzania
YAH: MAOMBI YA KAZI YA KUJITOLEA KUTANGAZA BIDHAA ZA KAMPUNI ZA VIFAA VYA UJENZI...
Habari! Poleni na majukumu na hongereni pia.
Mimi ni kijana mtanzania (28) Nina Elimu Ngazi ya shahada.
Ni kijana mpambanaji, mwaminifu na Mwenye hofu ya MUNGU.
Ninatafuta fursa kutoka Kwa...
Hello JF family.
Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine.
Sihitaji kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.