Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25, muhitimu wa shahada ya ugavi na usafirishaji mwaka 2019 (Bachelor of Logistics and Transport Management) mimi ni moja kati ya vijana ambao...
43 Reactions
172 Replies
25K Views
.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo si ndo Tarehe 18 May? Wale mulioingia oral mtatujuza mkianza kupokea offer letu zenu. Kila la heri
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi, Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikitamani kujiunga na tasnia ya udereva particularly udereva wa malori (truck driver), nilikua naomba kujulishwa mshahara wa dereva wa...
1 Reactions
32 Replies
18K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda Niende kwenye mada kuu...Ni wazi kabisa kwamba Mimi nasumbuliwa na changamoto ya usikivu (tinnitus) "hali ya kusikia sauti...
24 Reactions
82 Replies
5K Views
Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana jamii natafuta mtaalam wa kutengeneza cripsi za ndizi na viazi ili nimpe ajira awe anaishi Dar,namba yangu 0626333300
3 Reactions
0 Replies
228 Views
Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Mwenye Mwanga kuhusiana na nini cha Kusoma..Maeneo ya kuyapitia kwenye interview ya hii kada itakayofanyika apo siku za usoni.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa...
2 Reactions
2 Replies
808 Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wauguzi wenye sifa na vyeti waliohitimu vyuo vinavyotambulika hapa nchini kuanzia 2018--2024 kwa kazi ya kujitolea na kupata uzoefu ,kwa mkataba wa kulipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi sita'...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi. Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali...
21 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari za muda huu watu wa JF. Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree...
2 Reactions
4 Replies
697 Views
Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana. Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya...
13 Reactions
158 Replies
14K Views
Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na...
9 Reactions
89 Replies
12K Views
Gharama za posho za uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda nyingine ni kiasi gani? Na je halmashauri utokayo hutalipwa chochote? Nazungumzia uhamisho wa serikali
2 Reactions
4 Replies
523 Views
Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa. Elimu yangu ni...
3 Reactions
1 Replies
475 Views
Back
Top Bottom