Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi?
Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana...
Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue😭😭😭, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake...
Habari za weekend na poleni kwa majukumu.
Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma
Kwanza niwape pongezi...
Utangulizi
Katika nchi ya Tanzania, ndoto za vijana hujengwa vyuoni na kubomolewa polepole wanapokutana na changamoto halisi za kutafuta ajira.
Wengine wanatoka vijijini wakiwa wamebebewa...
Habari za wakati huu wana JF.
Nipo hapa kuwaomba mnisaidie natafuta nafasi ya Intern au kazi niko na Shahada ya mambo ya(Uchumi na Takwimu) from UDSM.
Nina ujuzi wa masuala ya Usimamizi wa...
Habari wakuu.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.
Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi...
Mambo vp wakuu
Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini...
Hello JF...
Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.???
Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira...
Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome...
Technicians and Graduates Trainee Program 2025–2026 at Mbeya Cement Company Limited
Mbeya Cement Company Limited (MCCL), a member of Amsons Group, is a leading manufacturing company providing...
At JTI, we celebrate differences, and everyone truly belongs. 46.000 people from all over the world are continuously building their unique success stories with us. 83% of employees feel happy...
Advent Construction Ltd, established in Dar es Salaam in 1996, is one of Tanzania’s largest and most recognized civil and building construction companies, holding Class One registration and ISO...
Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500.
Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli...
The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), a constituent college of the University of Dar es Salaam, is a leading institution in Tanzania dedicated to advancing education and...
Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu.
Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi.
Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe...
Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa.
Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.