Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanahitajika mabinti wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya kusambaza chakula kwa wateja Location : Kariakoo Mshahara maeleano Umri wowote ila awe anajituma Kama upo tayari zama inbox tuyajenge
2 Reactions
3 Replies
322 Views
Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu,natafuta Grand mark ii iliyo nyooka iwepo Dodoma,bajet yangu ni ml 4
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Msaada kwa anayejua namna ya kubadilisha taarifa kwenya account ya ajira portal. Mfano, Nilijiandikisha programu category ya Bachelor of arts (BED) education yaani somo moja. Badala ya Bachelor...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer. 0620696357
2 Reactions
0 Replies
224 Views
Hey
2 Reactions
8 Replies
568 Views
Natafuta kazi yoyote halali nipo IRINGA,nina miaka 26. Mawasiliano yangu 0740189881
0 Reactions
5 Replies
530 Views
  • Closed
Ajira Ajira Kijana mwenye vigezo tajwa anahitajika tafadhali usitume message piga simu kwa ufafanuzi
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Habari nipo natafuta kazi ya kutuma au kuagizwa chochote mzigo ndani ya dar au mikoani mm nipo dar es salaam.
1 Reactions
7 Replies
452 Views
ATTENTION ATTENTION ATTENTION ATTENTION Mwalimu aliye tyri kufundisha Cambridge curriculum year6. Mwanafunzi yuko dar seabreeze apartment. Kwa wiki sikutano sawa na siku20 kwa mwezi na kama upo...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu. Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia...
0 Reactions
10 Replies
837 Views
Habari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
1 Reactions
27 Replies
69K Views
Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa...
3 Reactions
1 Replies
296 Views
Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Kama unasoma kozi yoyote ya afya (health-related course) na unatafuta Internship Opportunities, ingia hapa: 🔗 Link: LinkedIn Fursa hii inafaa kwa: i. Wanafunzi wa mwaka wa mwisho (Final year...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Habari zenu wakuu wa JF Sitaki kupoteza mda wenu kwa maneno marefu. Nipo kwa kusudi Moja tu, Kumuombea kazi mwanamke jasiri ambaye kwa Sasa amepigwa na upepo wa maisha. Alikuwa amejitahidi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu habari? Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali? Kila halmashauri niombayo kazi...
3 Reactions
91 Replies
28K Views
Back
Top Bottom