Nina mdogo wangu amemaliza Form 4 mwaka jana amepata alama D tatu za kiswahili,English na History naomba ushauri namna ya kumuendeleza kimasomo kwa mnavyofahamu ndugu zangu..
Walimu wa home tuition services .
Location:Upanga Daresalaaam mtaaa wa Senegal
Emergency vacancy:
1.Tunahitaji Mwalimu mmoja ambaye ni mtaalamu wa mtaaala wa Cambridge curriculum masomo...
Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?
Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili...
Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar
KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.
Degree nimeweka pembeni
Ajira kwa aliyesoma
Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4.
Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam.
sifa
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Elimu ya cheti, diploma au degree.
Awe amehitimu...
Sisi Ajira mpya bado tunadai stahiki yetu ya hela ya kujikimu, pia tumekuta watumishi wanalalamikia hali ya kutopewa stahiki zao kwa wakati, stahiki hizo ni pamoja na Call, Extra & Refferal...
Naomba kuuliza kwenye maombi ya kazi ya udereva kwenye taasisi za umma je leseni daraja c1 na c2 inakubalika hata kama kwenye vigezo vilivyowekwa ni C&E na kwenye mfumo wa ajira portal umeitwa...
PSSSF ni nyi ni jipu, kwa nini mnashindwa kufuatilia kampuni ambazo haziweki mafao ya hiadhi za kijamii kwa watumishi, shida inakua nini au lengo lenu ni kuwadhutumu watumishi😡😡😡🤬🤬🤬 mnakera sana...
Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science.
Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
Boss wangu
Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti..
Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila...
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi...
Hello naomba tudiscass kidogo kuhusu izi position mbili Afisa mipango miji (town planner) na afisa mazingira (environmental officer) ikitokea umepata nafasi uchague kazi moja kati ya izo...
Habari wakuu, kama nilivyosema mimi ni kijana wa kiume, umri 19, nipo Tarime. Mara nimemaliza form four na kupata divisheni three. Pesa nimekosa za kuniendeleza, na kazi nazotafuta ni:
1. Dukani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.