Naomba sauti ya ujumbe huu ifike kwa Katibu Mkuu / Waziri wa TAMISEMI juu ya Mchakato wa uhamisho kwa Watumishi kwani tunakoelekea naona rushwa ndio njia sahihi ya Mtumishi kufanikisha uhamisho...
Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es...
Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi.
sifa za mlinzi anaehitajika.
Awe mtanzania...
Habari za wakati huu Wana-JA.
Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo:
1.Assistant Community...
Tiba asili ndio mkombozi wa waafrica.
Allah
Yesu
Ni matokeo ya ujio wa wageni.
Hii hapa njia ya kupata connection au ajira direct.
Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie...
Greetings Members,
I hope you are all doing well.
My name is Maduhu Joseph Manyanya, a recent graduate with a Bachelor of Science in Taxation from the Institute of Finance Management (IFM). I am...
Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge
Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama...
Watu wengi hawajui kuwa wanaweza kuingia kwenye dunia ya digital marketing bila kuwa na followers wengi au kuwa maarufu. Kama wewe ni mtu mwenye akili ya biashara na upo tayari kujifunza, basi huu...
📢 TANGAZO MAALUM KWA VIJANA WALIO CHUO, WALIOHITIMU CHUO AU FORM SIX!
Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo, umehitimu chuo, au umemaliza kidato cha sita, basi usikose kutembelea kurasa hizi muhimu...
Wanahitajika mabinti wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya kusambaza chakula kwa wateja
Location : Kariakoo
Mshahara maeleano
Umri wowote ila awe anajituma
Kama upo tayari zama inbox tuyajenge
Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)?
Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa...
Msaada kwa anayejua namna ya kubadilisha taarifa kwenya account ya ajira portal.
Mfano, Nilijiandikisha programu category ya Bachelor of arts (BED) education yaani somo moja. Badala ya Bachelor...
Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu
Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.