Salary scale ya PGSS 5 ni sh.ngapi?

Negemu

Senior Member
Dec 26, 2017
135
127
Habari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
 
Wa Tz tunashida sanaaa na tuendelee kuomba mifumo ya ajira ya SERIKALI iendelee hivi, mtu baada ya kuja kuuliza sekta alio omba kazi ina deal na nini? Kipi anatakiwa afanye ili kuongeza tija ktk hiyo nafasi akipata anakuja uliza mshaharaaa? " kweli ndo mana sekta binafsi wana tukwepa sana wa tz mna mtu aki sign mkataba jq kujua anacholipwa haangaiki tena kuleta tija kwa taasisi
 
PSS G

PSS G. 1. (Sh 1,299,000),PSS G. 2. (Sh 1,324,500),PSS G. 3. (Sh 1,350,000),PSS G. 4. (Sh 1,375,500),PSS G. 5. (Sh 1,401,000),PSS G. 6. (Sh 1,426,500),PSS G. 7. (Sh 1,452,000),PSS G. 8. (Sh 1,477,500),PSS G. 9. (Sh 1,503,000),PSS G. 10. (Sh 1,528,500),PSS G. 11. (Sh 1,554,000),na PSS G. 12. (Sh 1,579,500).


Kwa More info click Below Link:Hiyo ni Mwaka 2013

Ngazi za Mishahara: PGSS 9 & PGSS 10
 
Hapa naona kuna mkanganyiko hii PGSS na PSS G ni vitu viwili sasa kama Secretary wa diploma anapokea 1,3M hapa boss atapokea 7m anyway kwa haraka haraka hizi ni scale mbili tofauti PGSS 5 na PSS G
 
Back
Top Bottom