Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

mom abe

Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
23
Reaction score
22
Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge

Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?

Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?

Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.

Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.

Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
 
Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka , kwann wengi tunalazimishwa kuingia CWT inafika wakati mwalimu hunasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana, wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie hiki chama kina msaada gan kwa walimu hasa?
Chukua fomu chama kingine jaza, peleka kwa afisa utumishi....utahama.
 
Halmashauri ipi mmelazimishwa mbona huku nilipo kila mtu kachagua chama chake, kuwa specific taja hiyo Halmashauri
 
Walimu wengi wanaiona CWT ni chama kihuni na kipigaji hawakitaki ila wanang'ang'anizwa wabaki mle. Yale makato ya asilimia mbili wanaona ni makubwa mno
 
Mfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubali
Saini piga uturn chukua kwingine jaza kimbiza kwa hr
 
Mfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubali
Nawe Tumia Nguvu Kubwa Ya Ushawishi Huku Ukipangua Vitisho Kwa Weredi Ili Uwe Unapopahitaji...
 
Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge

Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?

Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?

Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.

Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.

Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
Ccm ni chama cha kihalifu tayari ...hivyo tunaongozwa na wahalifu...
Nilionya madhara ya kuruhusu wanasiasa kuwa wapiga kura ...ndiyo inasababishavhayo yote unayo ya lalamokia ...ni kosa kubwa mwanasiasa kuwa mpiga kura wa chaguzi kuu za nchi
 
Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge

Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?

Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?

Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.

Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.

Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
MITANO TENA
 
Vipi hamjalazimishwa kuomba kusimamia uchaguzi ili mkiwezeshe chama kuiba kuiba kura.

Ninyi na police ni kundi moja mnatumika sana kwa wanasiasa
 
Hatujalazimishwa sio walimu wote tunasimamia uchaguz ni wachache sana wale wanaohotaji wanaomba
 
Back
Top Bottom