Wakuu habari za jioni.
Naomba kuliza mfano mtu una level ya degree ila ulitumia cheti cha form 4 kupata kazi ya Msaidizi wa OFISI Tume ya utumishi wa mahakama.
Je inawezekana kuhama kwenda...
Habari, mimi ni binti ambaye niliomba ajira serikalini mwaka jana sehemu mbili (Taasisi A, na Taasisi B) kupitia utumishi na nikafanikiwa kupata na kupangiwa kazi kwenye Taasisi A. Hadi sasa nina...
Shule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma...
Habari, nazidi kutetea WATUMISHI wanaoajiriwa siku hizi maana wanafurahi kuona pdf nyingi zikishuka ila hawajui yaliyopo ndani, Kuna Halmashauri nyingi mpaka Leo hazijawalipa WATUMISHI hao...
Habari zenu wanajamii,
Nina changamoto ambayo ninaomba msaada wenu wa ushauri na ufafanuzi. Mimi siku zaliwa Tanzania, lakini wazazi wangu wote wawili ni Watanzania. Kutokana na hilo, mimi ni...
Wakuu habari
Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
Job Opportunities at Sotta Mining Corporation Limited
Project Engineer (1 Position)
Reports to: Senior Project Engineer
Online job portal
The Project Engineer will monitor and control all...
At Trees for the Future (TREES), we believe farmers have the power to transform the world. For over 30 years, we’ve been a global leader in agroforestry training, partnering with farming families...
Habari za mda huu wanajukwaa kama mada inavyosema mimi natafuta kazi ama kibarua cha mda mrefu iwe kwa mtu binafsi ama kampuni yoyote ile tujulishane
Cv yangu hii hapa
jinsia-kiume
umri-19 years...
Eti Mdau... Kijana wa kidato Cha nne, ikiwa amepata ufahuru wa daraja la nne(4.30).
Akaendelea na elimu ya juu (chuo) . Nakuweza kufahuru Kwa G.P.A nzuri ya 4 or 3.
Je matokeo yake ya kidato...
Walimu wa masomo yafuatayo wanahitajika kufundisha shule ya sekondari Uruwira.
a) Geography na Mathematics
b) History na English
Shule ni ya Serikari, ipo mkoani Katavi. Mawasiliano: 0754576401
Nina mdogo wangu amemaliza Form 4 mwaka jana amepata alama D tatu za kiswahili,English na History naomba ushauri namna ya kumuendeleza kimasomo kwa mnavyofahamu ndugu zangu..
Walimu wa home tuition services .
Location:Upanga Daresalaaam mtaaa wa Senegal
Emergency vacancy:
1.Tunahitaji Mwalimu mmoja ambaye ni mtaalamu wa mtaaala wa Cambridge curriculum masomo...
Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?
Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili...
Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
Jobless nimepata nafasi ya trainee kujifunza na kupata KAZI Zanzibar
KAZI ni receptionist na service
Wakuu ipi KAZI nzuri kati ya hizo mbili ambazo zina marupurupu.
Degree nimeweka pembeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.