Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Wakuu natafuta kikund mwenye details ama contact anitafute ni hapa haa dar..ni tenda ya mwaka mzima kila wiki ku perfome. kikundi kiwe cha ukweli kimekamilika nitwangie: 0714 925 525
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Fundi mahiri wa kurepea pressure cooker iliyotoboka vulve. mwenye shida nahitaji maombi yenu. nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Nahitaj flash kuanzia 4 gb na kuendelea
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Habari wadau. Kichwa cha uzi kinahusika. Help please. Natamani sana nijifunze kuogelea in a short time. I like swimming for fun.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nauza bei maelewano,anayehitaji 0752188854
0 Reactions
0 Replies
750 Views
habari ndugu zangu nauza maharage ya soya ya njano gunia moja la kilo mia ni laki na thelathini nina magunia mia moja na hamsini pia nina magunia machache ya mbaazi kila gunia moja ni laki tatu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajanvi,naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu kutoa vitenge Tz kupeleka Nairobi taarifa zisizo rasmi sana nilizopata ni kwamba vitenge vinanunuliwa sana huko,sasa kabla ya kwenda...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Natafuta vyumba viwili (madarasa) kwa ajili kuanzisha tuition centre...viwe maeneo ya kimara,ubungo,mwenge,mbezi, au tegeta....mwenye navyo ani pm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
htc chacha inauzwa kwa beii nafuu ya sh 230,000 nicheki kwa 0659 986586
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Najaribu kuweka post 5 ili niweze ku2ma pm
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Ni sh lak 1 na 70 tu.
0 Reactions
0 Replies
728 Views
While we all know the factors affecting the prices in a free enterprise economy are simply the demand and supply, or the market forces as preferred by those who have been to an economics...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, leo nikiwa natoka kwenye pirika zangu, nimekutana na dalali eneo la Kivule Matembele, ameniambia kuna nyumba inauzwa eneo la Kivule/Kitunda kituo cha Daladala Msikitini mita kama 200...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu.. Natafuta nyumba yenye self contained bedroom, sitting room na kitchenete maeneo tajwa hapo juu.. Iwe na maji.umeme na paRking pia. Offer yangu ni 200,000 shs... Msaada...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
htc desire A8181 inauzwa kwa 240,000 iko kwa good condition cheki kwa 0659 986586
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari ya j.pili wanajf?....kwa hapa dar, wapi naweza kwenda kubadili mkanda wa deki kuwa ktk mtindo wa cd au dvd?...naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Refurbished & up to 12 Months Warranty. Angalia hapa, ukipata unayoipenda niulize kwa PM jinsi ya kuipata. Itakufikia kwa Fedex au DHL. Ongeza nauli kwenye bei ya kifaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kiwanja maeneo tajwa...ukubwa 20 kwa 20 mita za eneo...kisiwe chenye migogoro
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HD 160 GB RAM 2 GB PROCESSOR 2.2 GHZ Ina webcam na wifi, Windows vista, bei ni Tshs 300, 000/ (not negotiable)
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Waetembelee hapa Tanzania Stylers
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Back
Top Bottom