Watakuwa wana perform wapi?
Maana isije kuwa Bar,wengine ni issue
ngoja nakujibu kakaDuh,dili tamu kweli
Huku Zanzibar vipo vikundi kibao havina issue,ila wewe umetaka Dar ndio tatizo.Najua mambo ya Nauli inakuwa Tabu kwa ghamara za ziada.
Halafu hembu niambie kuweka Poster au matangazo au Vipeperushi kwenye Restaurant yenu hapo,mta charge kiasi gani.
Maana biashara matangazo,nimeona nichomekee hiyo kwakuwa naona mpo kwenye position nzuri ya plan zangu