pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
habari ndugu zangu nauza maharage ya soya ya njano gunia moja la kilo mia ni laki na thelathini nina magunia mia moja na hamsini pia nina magunia machache ya mbaazi kila gunia moja ni laki tatu kwa anaehitaji tuwasiliane kwa pm