NDESSA
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 1,946
- 1,801
Habari wanajanvi,naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu kutoa vitenge Tz kupeleka Nairobi taarifa zisizo rasmi sana nilizopata ni kwamba vitenge vinanunuliwa sana huko,sasa kabla ya kwenda nimeona ni vizuri nikauliza kwenu wadau mnaopajua na pia kuhusu mpaka wa Namanga kupita na mzigo kuna vikwazo gani,Natanguliza shukrani.