Car4Sale Magari used Tanzania

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
Habari wapendwa,

Jina langu naitwa Jerry, najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania, kupitia uzi huu ntakuwa naweka magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika ili nipate kuwauzia, magari hayo ni mazuri na yenye ubora ambayo ninayauza kwa bei nafuu pia.

Pia, kama unauza au unataka kununua gari nzuri yenye ubora basi naomba nitafute ili nipate kukupatia gari unalohitaji kwa gharama nafuu na bora kabisa.

Namba zangu ni
0659756647 whatsapp/calls
0623953036 whatsapp/calls

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota ist
mwaka 2003
cc 1290
milioni 6.5
kwa mahitaji ya kununua au kuuza gari yako nitafute kwa no hizo
0659756647
0623953036
ca5ac2d1-d4bb-4161-9a54-6385973bac13.jpg

1b248f91-b640-4583-bc04-a285b3b01932.jpg
fe8f7221-ecd2-4131-b704-0060f11f59b5.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums

ca5ac2d1-d4bb-4161-9a54-6385973bac13.jpg
 
  1. kwanini msiwe mnaweka na namba za wenye Magari? kuna Dada mmoja anauza gari yake yeye anaenda USA wiki ijayo, anataka 8m Madalali wameifkisha 10m wakati mwenyewe ana shida ya nauli (mnamkosesha usafiri)
  2. Gari ni mbovu ipo Tegeta ninyi mnapiga picha nyingine mkiambiwa ongezeni hata Dashboard mnasema gari haipo kumbe sio wamiliki
  3. Acheni biashara hizo hali kwa sasa ni ngumu vyuma vimekaza mtapata lawana wakutanisheni wanunuzi na wauzaji ninyi madala;i mtapewa % zenu la sivyo waacheni wakauze www.zoomtanzania.com
 
Toyota vitz old model
no d
cc990
mwaka 2003
bei 6.5 milion
kwa mahitaji ya kuuza gari yako au kununua gari nitafute kwa no
0659756647
0623953036
9a010df5-fcf8-46a5-9ab4-094935d7695c.jpg
dd5526f0-fca5-4e72-b7b2-f7cfcefe1cf1.jpg
5eaa4d44-d955-4e40-95b5-f40c8570177d.jpg
41509cf8-c803-45c9-a262-d5704ec91152.jpg
fb256fb8-1fa2-49af-b947-c7dd26a61c8c.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota vitz old model
inataka 5.7m
mawasiliano
0659756647
0623953036
180e78c1-116f-4657-ace2-826c763b642d.jpg

862d01a9-585b-4c77-969b-6836e2f8e665.jpg
9a0e3a4f-be7b-4766-8664-895b5dedc02b.jpg
9a0e3a4f-be7b-4766-8664-895b5dedc02b.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
toyota gx 110
full documents
full ac
naiuza kwa 5m
5947b448-ff9b-4395-aa89-fd0e2bf7c86d.jpg
b6f652ed-c993-4cc0-8612-ba33794fed77.jpg
bb6a2b4e-be23-424f-bf12-5af35bdb3554.jpg
b5499119-5fcb-44da-bee7-0c62c6e3ac18.jpg
ebc42dee-a09a-4d17-a0e2-b633d212bcf1.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu una gari unauza?
weka picha za hayo magari Mkuu
Tatizo lililojitokeza sasa hivi MADALALI wote wameivamia kazi hii wameacha hata kuuza mahindi pale Tandale.
Magari hawana wanaanzisha magroup hasa huko Whatsapp na ukiangalia magari HAWANA ila wanadalalia ya wenzao kwa kuongeza hapo 500,000/
utasikia inatakiwa IST chapchap aliyenayo anione tunakula mkono hapo Tajiri kanikaba
  1. kwanini msiwe mnaweka na namba za wenye Magari? kuna Dada mmoja anauza gari yake yeye anaenda USA wiki ijayo, anataka 8m Madalali wameifkisha 10m wakati mwenyewe ana shida ya nauli (mnamkosesha usafiri)
  2. Gari ni mbovu ipo Tegeta ninyi mnapiga picha nyingine mikiambiwa ongezeni hata Dashboard mnasema gari haipo kumbe sio wamiliki
  3. Acheni biashara hizo hali kwa sasa ni ngumu vyuma vimekaza mtapata lawana wakutanisheni wanunuzi na wauzaji ninyi madala;i mtapewa % zenu la sivyo waacheni wakauze www.zoomtanzania.com
jerrybanks hili jina lina group ya Whatsapp kama sikosei ambapo gari hazitoki km nimefananisha sorry lkn weka gari tuzione na mimi nikupe langu uniuzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiyo IST T247 BAJ kuna dalali mwingine kaposti humu Jf kasema 6M..Huyu anasema 6.5M still anasema haongezi cha juu..

ndugu gari zote ninazopost humu mm ndio nmekabidhiwa na kwenye biashara kuna kuomba kupunguziwa na swala zima la budget

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
canter
engene 4m40
namba d
tani 2
full documents and ac
naiuza kwa 20m

je unatafuta gari ya kununua au unataka kuuza gari yako basi jibu lako ni mimi nitafute kwa no hizo kwa ajili ya kununua gari bora na hata kuuza gari yako
0659756647
19de9bf4-a5ba-4f22-b689-31f7c007e28b.jpg
aa7256e8-fd97-4e21-b0bf-b6df63027d73.jpg
b068fb1d-2653-4d79-a194-c6be91e5d066.jpg
0231de1a-8477-440f-b6a2-9a6e7bcab30a.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama hiyo IST T247 BAJ kuna dalali mwingine kaposti humu Jf kasema 6M..Huyu anasema 6.5M still anasema haongezi cha juu..
Sent using Jamii Forums mobile app
1552896256898.png

1552896333698.png

Hiyo Harrier dalali kaanzia 4.5m nimemtafuta mwenye na hizo za gari kasema hata chini ya 4m inazungumzika na kanieleza ukweli tatizo zima la gari, mileage nk sasa huoni Dalali kutokuweka namba za muuzaji anajiwekea 1m nzima na gari ikibuma hiyo 1m si ningenunulia injini pale Ilala, ndio maana sipendi gari iuzwe na watu wawili
Ukitaka kumjua mwenye gari ingia Traffic http://tms.tpf.go.tz/ namba ya leseni ya siku hiyo, au Ingia TRA au BIMA (TIRA MIS) ndipo utawaona wamiliki
 
harrier zipo mkuu ntafute kwa no 0659756647
Sent from my iPhone using JamiiForums
NIMESHAPATA Mkuu nashukuru sana kwa msaada uliotaka nisaidia pi JF wameniongoza ilipo, ngoja kwanza itoke gereji kuna ka service kadogo (gear 3 kwenda 4 haipokei ni AT)
 
View attachment 1048148
View attachment 1048150
Hiyo Harrier dalali kaanzia 4.5m nimemtafuta mwenye na hizo za gari kasema hata chini ya 4m inazungumzika na kanieleza ukweli tatizo zima la gari, mileage nk sasa huoni Dalali kutokuweka namba za muuzaji anajiwekea 1m nzima na gari ikibuma hiyo 1m si ningenunulia injini pale Ilala, ndio maana sipendi gari iuzwe na watu wawili
Ukitaka kumjua mwenye gari ingia Traffic http://tms.tpf.go.tz/ namba ya leseni ya siku hiyo, au Ingia TRA au BIMA (TIRA MIS) ndipo utawaona wamiliki

Ukwaju mbona unapenda sana mateso??? acha kununua gari zilizochakaa hivi utakuja kujuta ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom