Naitwa Emason umri Wangu miaka 35, Elimu yangu Degree, Ajira yangu nipo serikalini, lakini pia nimewekeza katika business, situmii kilevi chochote, Mimi ni mkristo, pia nipo social sana, siyo...
Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja...
Ndio hivyo
Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your...
Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli!
Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya...
Kwa mujibu wa utafiti Hizi ndio Staili zinazotumiwa sana na wamaume wakati wa kupeleka Moto.
https://twitter.com/stats_feed/status/1700354024862540003?t=dIJWK4ou9gPj-Y-caHp6hg&s=19
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.
Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute...
Wapendwa hamjambo?
Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba...
Ukweli ni kwamba wanaume tumekuwa wahanga wa kusingiziwa na wanawake na jamii ikaamini ni kweli, inapotokea mwanaume ukasingiziwa na mwanamke kuhusu jambo lolote lile jamii huwa inamwaamini...
Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji?
Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji...
Tumpe ushauri huyu dada.
Ndoa yangu ina miaka 7 ila uhusiano wetu una miaka11. Nina watoto 2 na sasa ni mama kijacho. Mwaka Jana mwishoni nilipata kuwashwa ukeni nikaenda kupima nikaambiwa nina...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute...
Hellow
Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni...
Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45
Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu...
Kumekuwa na majidala mingi sana juu ya size ya maumbile uume.
Wanawake wamefika mbali sana na kuanza kuita baadhi ya wanaume wenye uume mdogo kuwa ni vibamia.
Ukweli ni kwamba size nzuri na...
Anyaashimika!
Kama kichwa kinavyoji express. Ipi sababu ya msingi ya kunilazimisha nioe kama kijana? Leo tuvunje ukimya tuongee kikubwa. Huu ubishi na utata wa kwa nini nioe au nisioe basi uishe...
Hii ni kutokana kwamba psychologically mwanaume ameumbwa kupenda ngono hivyo huvutiwa zaidi na wanawake wanaoonekana kujua kusex zaidi.
So mwanamke Malaya anaonekana kuwa na Experience zaidi ya...
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.
Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae...
Hello,
Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa...