Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume...
Habari wana JF.
I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa...
Ndugu zangu poleni na majukumu ya kujenga Taifa na uchumi binafs
Mimi kaka yenu, Kijana wenu, mdogo wenu na mtoto wenu pia kwa kila rika tofauti tofauti kwa heshima sana nakuja mbele yenu...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume wa miaka 30+, nimefika katika hatua mbaya sana katika maisha yangu, kiukweli mwili wangu na nafsi yangu na akili yangu yote vinahitaji kuwa na...
Anyo-Ashi-Mikaaaa!!
Niende kwenye mada.
Wakati fulani nilisikia wimbo wa msanii mmoja ajiitaye Alikiba ukiimbwa "yana run dunia", ila wengi wakaubadilisha na kusema "wana run dunia"...
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila...
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.
Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni...
Walevi tunapitia mengi sana pia tunayafanya mengi sana hawa watoto wa miaka ya 2000 ambao wametoka wilayani na kuja mjini kutafuta kazi na wakajipeleka katika ma bar wanapitia mengi sana unakuta...
Kwanza kabisa naomba uamini kuwa dreams do come true…. Yes unaweza ku end na yule unaemtaka wewe. Ila sasa tujaribu kuwa real kidogo kuwa chances za wewe kumnasa Brad Pitt and the like are...
Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki.
Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu...
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.
Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo...
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.
Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa...
Habari.
Moja kwa moja. Jamaa yangu anaomba ushauri kwani amepoteza hisia na mwili wa mwanamke kabisa,
Amenieleza kwamba hata mwanamke avue nguo awe chiu wa mnyama lakini wapi hana hisia naye...
Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.
Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.
Ndoa ina raha na ndoa ni tamu...
Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi...
Ni red alert[emoji615][emoji724] Kwa wadangaji wote waliofanikiwa kupora waume za watu wenye familia na ndoa za muda mrefu waliotengana, kuachana ama kutalikiana na wake zao halali za ndoa
Kabla...
Habari zenu wakuu, poleni na hekaheka na harakati za siku nzima
Kesho ni ijumaaa msisahau kuwatumia wapenzi wenu hela jamani, mtumie babe wako hata ka 6000 akale biriani au chips msiwe wachoyo...
Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.
- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa...
Vijana inabidi tuwaase, Dunia iko kasi, muda wako mwingi uwekeze kwenye kupiga kazi za kusaka maisha.
Ukimpenda mwanamke wewe mtongoze tu na ikiwezekana majibu akupe siku hiyohiyo au akichelewa...