Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu poleni na miangaiko ya apa na pale siku tatu zilizopita namaanisha alhamisi Kuna mwanamke mmoja hivi Ambae tuna muda mrefu sana katika kujuana kila nikimtongoza Kona Kona nyingi Sana, so...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima...
29 Reactions
488 Replies
19K Views
Habari zenu wakuu. Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa...
15 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari. Kwa asilimia kubwa wanawake ndio wanaongozwa kwa kudanganywa na watu wengi sana katika mitandao ya kijamii. Kwa utafiti wangu mdogo nitawataja makundi au watu wachache waliobahatika...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa nini sisi wanaume tukifumania ndio mwisho, labda wapo wanaoendeleza ila mimi nikifumania ndio mwisho wa safari yetu, ila wanauke wanakuwa ving'ang'anizi? Kwa nini?
4 Reactions
17 Replies
839 Views
Happy weekend wapenzi [emoji849] Niende kwa mada. Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini maisha ya sasa yamekuwa magumu sana.[emoji6] Jamani wapenzi wangu wa jf kitu gani kifanyike tuweze kupata dawa...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Tukiachana na pale kati sehemu nyingine muhimu katika mwili wa mwanamke ni kifuani aisee kama na wewe ni titi lover basi you already know what I'm talking about. Kuna vitu havihitaji kufanya...
20 Reactions
107 Replies
6K Views
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida. Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku...
88 Reactions
600 Replies
44K Views
Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana kuambiwa...
26 Reactions
404 Replies
159K Views
Mamboz wanakaya. Ebu tuongee tunaenda kumaliza kaweekend kazuri sana. Leo tupige story za weekend. Nauliza kaswali kakiuzushi. Niambie,kitu gani unaenjoy katika ulimwengu wa kimapenzi au...
2 Reactions
8 Replies
558 Views
Morning all guys humu ndani. Nafsi yangu mie inaumia moyo wangu unatoa machozi kama nitapata nafasi ya kulipiza kisasi katika maisha yangu basi sitasita kufanya katika watu wengi washuhudie. A...
10 Reactions
157 Replies
8K Views
Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja...
3 Reactions
36 Replies
7K Views
Baada ya kugundua kuna watu wana uwezo lakin wako loneliness,stressed,wanahitaji kuwa na mtu wakuwapa company,kuongea nao, kukaanao,kutoka nao(outings) nimeamua kujitoa kuprovide hiyo service kwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
guest-1791802738
Bwana miaka ya nyuma Nikiwa zangu Tanga nishamaliza masomo afu nishafeli sielewi elewi kila kazi ninayofanya inagoma Nikaona ni vyema niongee na mama angu Ili nije dar kutafuta maisha. Mama...
22 Reactions
52 Replies
7K Views
Kwema Wakuu! Mbinu bora ya wakati wote ambayo hata mimi Taikon ninatumia kwenye mahusiano yangu ambayo nimefanikiwa na nitafanikiwa. Yaani kwenye jino kwa jino kufanikiwa sio hiyari bali lazima...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hebu fikiria mtu anaamka saa 11 asubuhi ana andaa breakfast, anawaandaa watoto kwenda shule, anasafisha nyumba ndani, anafagia uwanja nje, anaosha vyombo, anafua nguo za familia, anapika chakula...
14 Reactions
64 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete? Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa...
4 Reactions
79 Replies
5K Views
Umri wangu : 29 yrs Kazi : muajiriwa Location : dar Education :degree holder Kabila: muhaya Any girl serious PM me
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…