Kama unaoa ili upendwe acha!

Kama unaoa ili upendwe acha!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Habari zenu wakuu.

Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini Mwanaume wala kumpenda kwa moyo mmoja.

Ukiona mwanamke kakubali kuolewa nawewe basi tambua kuwa hajakufuata wewe kwenye ndoa isipokuwa vitu.
 
Hii sio sheria, ukishindwa wewe haimanishi na wengine watashindwa.
Habari zenu wakuu.

Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini Mwanaume wala kumpenda kwa moyo mmoja.

Ukiona mwanamke kakubali kuolewa nawewe basi tambua kuwa hajakufuata wewe kwenye ndoa isipokuwa vitu.
 
Sema hujapata wa kukupenda tu…..

Sisi tunApendaga yoyote tu
Hakuna kitu kama hicho.

Penzi la kweli ni penzi la mwanzo tu! Wanaofuata wote hawapati penzi la dhati kama yule aliekata utepe.

Mwanamke akishachana na aliempenda huwa anaangalia masilahi na sio upendo.
 
Una hoja usikilizwe yupo binti ananitafuta adi kesho na keshaolewa aliniambia inabid tu niolewe umri unaenda no way
Acha Mawasiliano nae, ukiendelea kitakukuta kitu Mkuu.

Huyo mwanamke ni Malaya kama Malaya wengine.
 
Analiwa vizuri kiukwli sio malaya hat ni wife material hasa ila dini ndo kikwazo , anasema lazima mi niwepo maana sina baya uzuri tupo mikoa tofauti , wanawake wanapenda sherehe akishaolewa shida yake imeisha
 
Habari zenu wakuu.

Kwa maisha ya sasa kama utaamua kuoa ili upendwe na Mke basi unajidanganya, maana wanawake wengi wasio na Bikra washaumizwa na watu waliowapenda kabla yako na hawamuamini Mwanaume wala kumpenda kwa moyo mmoja.

Ukiona mwanamke kakubali kuolewa nawewe basi tambua kuwa hajakufuata wewe kwenye ndoa isipokuwa vitu.
Vitu gani hvyo ?
 
Ni kweli na ili kuthibitisha hilo fulia uone rangi zote za huyo mwanamke [emoji108]

Mwanzoni atajifanya kukuvumilia iwapo umejenga kajumba au vibanda 2-3 huku akikuvizia akukute na kisa au kosa fulani basi hapo itakuwa ndio sababu ya kudai talaka muachane mgawane hayo mabanda au apate kijumba cha mgao wa mali kisha akutekeleze.
 
Back
Top Bottom