Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,548
6,102
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua. Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.

1662983435557.png

Pia soma: Magonjwa ya zinaa-mambo muhimu Kufahamu
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Sisi ambao tunapiga deki kabisa na ulimi na hatujapata tatizo lolote unatushaurije?
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Kula kavu ni hatari

Nimeona nyuzi nyingi hapa JF wanaume wanalalamika kama wewe

Dada zetu tunzeni tupu zenu kwa nini mnakubali kutombwa kavukavu ovyo ovyo?
 
Mimi siku mbili nikaanza ona bolo halikauki, week usaha sijui ule hatari kabisa...unavuja boxer jioni haifai

Shenzi kabisa yule

Back
Top Bottom