MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Mamboz wanakaya.
Ebu tuongee tunaenda kumaliza kaweekend kazuri sana.
Leo tupige story za weekend.
Nauliza kaswali kakiuzushi.
Niambie,kitu gani unaenjoy katika ulimwengu wa kimapenzi au kimahusiano ninaongelea lile tendo liwe la ndoa au uzinifu ?
(Mie napenda Deep romance)
Karibuni kwa kumjadala.