Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu. Kama tunavyo fahamu binadamu tume umbwa kwa kutegemeana na hakuna aliye kamilika, na hii ndiyo maana wanawake wakanyimwa utawala , nguvu na akili za kutosha na wakapewa udhaifu ,hisia na...
4 Reactions
4 Replies
606 Views
Nakumbuka mwaka jana nilihudhuria harusi ya rafiki wangu (wa kike),asee was very impressed kwa kweli. Si unajua pale tena harusi za siku hizi wale maharusi wanachukua time ya kuelezea familia zao...
12 Reactions
50 Replies
4K Views
NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimegundua Mwenye huruma na pesa zangu ni mimi mwenyewe. Na nikiendelea kucheka na hawa wapumbavu sitafanya la maana miaka yote
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Heshimu mahusiano ya wengine, anzisha wa kwako. Yanini kuhangaika na samaki aliyekwisha vuliwa wakati kuna samaki wengi baharini.
18 Reactions
63 Replies
3K Views
Nimekosa Heading ya kuweka hapa ndugu zanguni Just imagine, wanakaa kitako kuwajadili waume zao. Boya mmoja anapiga simu kwa mkewe kuulizia maendeleo yake na mwanae, anawekwa loud speaker, baada...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya wastani miaka mitatu ya vipigo na vitisho vingi vya mara kwa mara kutoka kwa baba ake ambavyo kimsingi vilikuwa vinaniumiza na kunikera, siku moja nikiwa naamini nimepevuka nilimtafuta...
3 Reactions
3 Replies
732 Views
Mkeo ulimgharamikia kiasi gani mpaka kumpata kwa upande wa gharama za kumshawishi mpaka aingie laini na pia mahari ulilipa kiasi gani ikiwemo gharama za kusafiri wewe na wajumbe wako kwenda...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Hope mpo poa wakuu Wanaume Daima tunakaribiwa na changamoto mbalimbali za maisha katika kuhakikisha familia zetu zinapata chochote kitu Kila siku. Kwa namna Moja au nyingine wanaume wengi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
..
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Ni hata mjikute warembo vipi, mna pesa kiasi gani lakini ndoa ni jambo mnalolihitaji tu. Ehee, haya tupe plan yako B endapo mabaharia tumeamua kukususa?
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Jumatatu iliyo nzuri. Binafsi si date na mtu mwenye hulka za makundi makundi au mashosti. Nishapiga wengi sana chini as I realised ni watu wa makundi makundi! Mwanamke organized hawezi kuwa na...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla...
47 Reactions
84 Replies
7K Views
Wakuu Nimetafakari sana , wanawake wana danga sana kutokana na sisi wanaume na wavulana kuhonga honga hovyo wanawake, unakuta kijana anapigika anapata kakipato kiduchu kama posho ya kibarua kwa...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Lengo moja kuu la kuoa/kuolewa ni kukulinda wewe mwanandoa na Magonjwa kwenye maisha yako. Unapokuwa kwenye ndoa kula kavu ni suala la kawaida na ni jambo la msingi katika...
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Hi guys, Hope mko na weekend poa...!! Naomba niulize hili swali hasa kwa wababa wenye wako na watoto wa kike..!! Nina rafiki yangu mmoja mrembo, niliwahi fanya naye kazi pahala flani miaka flani...
15 Reactions
299 Replies
22K Views
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
21 Reactions
160 Replies
10K Views
There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Kama wewe hujamsaliti mungu kwenye uumbaji wake ubarikiwe Sana. Niseme tu kwangu haitakuja kutokea. Kwamba siumwi nikapange foleni nipate maumivu ya kujitakia burebure. Na sitaki mtoto wangu...
33 Reactions
212 Replies
12K Views
Dear babe, Nothing scares the shit out of me like the thought of 'what we have was never meant to be', been craving, dreaming and fighting for whatever little thing left in us but the naked truth...
42 Reactions
568 Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…