Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia
Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na...
It was one Wednesday evening after jobo. I was feeling horny the whole day and decided that I needed some. So I went to all the joints that I know of and just couldn't get the courage enough to...
Aisee asikwambie mtu ukutane na hiyo chuma hapo chini uikute ipo kwenye ubora wake , hana njaa kashiba , hana madeni vikoba.
Kama pumnzi na stamina huna unaweza kata moto maana hadi soka...
Habari,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna kitu cha kuangalia wakati wa kuoa na kuolewa ni hili suala la mume au mke ambaye kila linalotokea kwenye ndoa yenu yeye anaripoti kwao.
Katika...
Wakuu habari za jioni?
Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi.
Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela...
Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana,
Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku...
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha...
Kwa Waliolewa na Kuoa
Zingatia: Hata kama umeolewa na mume bora duniani, usipouchunga moyo wako, unaweza kuishia "kumpenda" mtu tofauti na mwenzi wako na hatimaye kuharibu ndoa yako.
. 1. Usiwe...
Habarini wana jamvi.
Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio...
Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja...
Wapendwa habarini,
Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December...
Hivi ni kweli kwamba mkiishi kwa muda mrefu huwa mnachokana hata kama mnapendana kweli?
Yani naamanisha kuwa, kuna muda unatamani kutoka nje ya ndoa kwa kumkinai mwenza wako na kutaka vitu vipya...
Miongoni mwa mambo hatari katika Mahusiano ni kuaminiana na kuambiana siri zenu. Naomba nitumie andiko la Biblia katika Kitabu cha Mika siyo kwa lengo la kufundisha imani fulani au dini ila...
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 28 ambae bado sina mbele wala nyuma kwenye maisha yangu, bado najitafuta ila uhakika wa kipato kiasi ninao. Changamoto yangu ni kwamba nilikuwa naishi na mwanamke...
Salaam wakuu.
Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k....
Nawapa kisa kimoja
Miaka...
Ndugu wanabodi,
Lejea kichwa Cha habari hapo juu.
Mimi nina umri wa miaka 38 yrs old
Elimu. Diploma holder
Kazi. Biashara
Eneo. Rock City (Mwanza)
Dini. Christian
Nina mtoto mmoja ingawa Sina mke...
Akizungumza katika Kipindi Kizuri na ambacho GENTAMYCINE nakipenda na nimejiteua Mwenyewe kuwa Balozi wake Kivuli cha Mazungumzo ya Familia ya Radio One kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi...
Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana.
Wewe kama unamchukia...
Katika harakati zangu za kujitafutia ugali wa kila siku nikakutana na pisi moja kali sana yaani matata mno..
Figure fulani ya kibantu iliyojaliwa kila kitu
Yule dada akiniambia anatafuta...