Video imezua gumzo mitandaoni baada ya kijana wa kiume kuamua kusomba kila kitu alichokinunua kwa ajili ya mpenzi wake kuanzia godoro mpaka mapazia baada ya mwenzi wake huyo wa kike kusitisha...
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Sababu ni hizi
☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo.
☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao...
LUST ni zimwi hatari sanaa aiseee
Kosa nione mdada mwenye makebo makubwa, lazima nihakikishe natafuna jagina yake.
nimekula malaya na wadada wa kutosha,
Nimepoteza pesa,
Love triangles za...
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani...
Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya herufi ya kwanza la jina la...
Wakuu bro to bro, maisha yanatupiga tofauti tofauti ila muhimu tujengane na kushauriana kama wanaume.
Kila mmoja ana experience yake kuhusu maisha, pesa, mahusiano, hustle na future. Mtu akiona...
Nimegundua kuna tabia ambazo huwa zinawakera watu wengi ila wanashindwa kuzisema kwasababu aidha ni kuona muhusika anaweza asielewe/kupuuza anachoambiwa au kumpotezea mhusika kwa kumchukulia kama...
Nina uwezo wa kupenda wanawake wengi sana hata 500 kwa pamoja, na nikishampenda mwanamke yeyote, hakuna kitachofanya niache kumpenda.
Hii inaonekana nzuri lakini inaniletea tatizo moja, hata...
nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza?
Eti wanaume,
kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe...
Hivi vitoto vya hii generation huwa vinatafakalisha sana kwakweli. Ukiviwazia namna vinaendesha maisha yao na mwenendo inakupa mashaka kama tunaweza kuviachia taifa siku za baadae tukishakuwa...
Wanabodi,
Kama umejaaliwa kipaji cha kupenda na uwezo wa kupenda kwa dhati, wee penda tuu, hata ufanyiwe nini, huwezi kuacha kupenda, hivyo sio vibaya ukijitolea kuwa mwalimu wa kupenda kwa...
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa...
Je ulitokea mtu uliemuaamini ukatumiwa au kugundua "mafile" yake yasiyopendeza machoni utachukua hatua gani?
Kwa zama hizi za technology ambazo hawasimulii tu Kwa kinywa Bali Kuna ushahidi wa...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari...
Habari wakuu, naimani wote mpo salama...
Katika pitapita zangu Twitter nimekutana na hii simulizi ndogo ya jamaa alieng'oa pisi kali Kwaahadi ya kiwanja... Shuka nayo...