Nipo hapa mgahawani napata chakula tangu saa 2 asubuhi mpaka muda huu. Sitaki kabisa kwenda nyumbani, nipo naosha osha macho angalau niweze kutoka na mmoja.
Wakuu, nimchukue yupi kati ya hawa?
Have you ever sat across from a Tarot reader, nervously tapping your foot, waiting for that one ultimate card to flip over? We’ve all been there. Whether you are deeply single and wondering when...
Tarehe 29/04/2026 Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam imehitimisha kesi ya kusisimua na kusikitisha inayomhusisha Abdallah Miraji Mussa, maarufu kama "Mr. Blue", aliyepatikana na...
Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua.
Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30...
Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na...
Kwa uzoefu wako, mathalani umeopoa pisi kali na kudumu nayo usiku kucha, ni sehemu ipi huchacha kwa haraka zaidi na kutoa harufu usiyioipenda kabla ya filimbi ya mwisho ya kumaliza game kupigwa...
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa...
Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa...
Wakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura...
Naamini mko njema wakuu
Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi
Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe...
Huko nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mtu mzima, kutokana na uzuri wake pamoja na ujuaji wake, mahusiano yalijaa migogoro mingi; hali iliyopelekea ata mtoto aliyezaliwa kuhisi ana wababa...
Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀
Naeza kuelezea Bwana as a...
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu...
Wakuu, hili jambo utakalolisoma hapa ni maisha yangu 100%.
Kuna ile kauli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, naona ni kweli 100%. Haya maisha ninayoishi sehemu kubwa ni matokea ya makuzi yangu...
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu.
Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa...