Habari za muda huu wakubwa!!.
Hivi siku ikitokea umelala na mke wako asubuhi, halafu ukasikia mlango umegongwa mkeo akaenda kuangalia ni nani alafu anarudi kwa upole na mahaba anakuambia baby...
Smile, smile and brighten my day.
Is it too soon for me to feel the urge to have you close to me?
Dream about your kiss
Wish we had a past to remisce?
Is it too soon for me to wish that we...
Rafiki nilienae mimi ameakua akinishauri vitu ambavyo vina matokeo mazuri katika maisha yangu: that why he's my best friend.
Share your experience about your best friend na nikitu gani...
Wakuu kwema ?
Nilikua na wazo la kuzaa kabla ya kuoa kutokana na presha ya ndugu na jamaa, ya kutaka mjukuu kama tunavyojua familia zetu.
Lakini baada ya kuongea na baadhi ya watu wenye uzoefu...
Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu...
Poleni na pilika pilika za hapa na pale ,
Sisi wanaume tunapitia mambo mengi ya kuumiza na kufurahisha sana.
Huyu jamaa ni rafiki yangu tulikutana miaka mitatu iliyopita yeye ni mmafia ila...
Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake
Akiwa ndo wana...
Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae.
Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe...
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa...
Tendo la ndoa ni kiunganishi cha kimwili,fikra(hisia), na hata nguvu za kiasili baina ya mwanamke na mwanaume. Kuna sababu kuu ya uwepo wa tendo hili ni kuzaliana kama ambavyo ipo hivyo kwa...
Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani.
Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi.
Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
Jina: John
Kazi: religious
Makazi: Dar na Zanzibar
Umri: 34
Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha...
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?
Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata...
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa
Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao...