Kupenda ngono hakuna ukabila

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,751
3,380
Kuna wanaodai eti kabila fulani ndo wanapenda sana ngono.

Utaskia sijui wapare ni viwembe au sijui wanyiramba sijui wambulu au wahaya ni balaa kwa ngono.

Mimi Braza Kede kwa akili yangu timamu na pasina sheria wala shuruti nipo hapa kuwathibitishia kwa utafiti wangu huru kuwa jambo hilo halina japo chembe ya ukweli.

Ngono haijali wewe ni wa kabila gani. Kila mmoja anaipenda.

Habari ndio hiyo.
 
Ngono tamu, hasa umpate mwanaume mwenye mjegeje mkubwa.
Hakuna mwanamke asiyependa ngono/kufanya mapenzi.
Wanaokataa ni wale walioolewa na mume mmoja tangu ujana mpaka wanazeeka nae
Anaujua utamu wa mumewe tu.
Ila sisi wengine, tunapenda sana kufanya mapenzi, sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom