Ukikaa mbali na jinsia ke unaokoa kibunda

Ni kweli kabisaaa... Hela zangu zinaliwaga kijinga sana. Pia mwanamke akishajua unampaga hela hata umfanyaje bado tu anaonesha anakupenda dah! inachosha.
 
FB_IMG_1712175734853.jpg
 
Bado una Hela ww mkuu unavijisenti vya kulaa.
Pata pesa nyingi ndio utajua wanawake na pesa n mate na ulimi alafu wanajuaga kbs HP Kwa huyu kaka Kuna kibunda alafu ubaya c ww unataka wao ndio wanakutakaa 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom