Habari za saa hizi.
Mimi ni kijana naishi dar.
Umri 32.
Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke.
Awe anaishi dar
Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa.
Aelewe thamani ya...
Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha.
Usiogope kumwambia kitu kibaya...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Hii ndiyo asili yao,hivyo ndivyo walivyo na hata wao wanatambua kabisa hiyo ndiyo asili yao!.
Wewe jifanye ni mstaarabu kwa Mwanamke uone atakavyo...
Habari ya muda huu..
Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora.
Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi.
Kulikuwa na huyo...
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority
"I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹
Guys it's ok to be selfish and self centered...
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.
Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na...
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile...
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.
Sasa...
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku...
Habari .
Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli...
Hisia ndio injini ya mapenzi matamu
Narudia mapenzi ni hisia, hisia zikiwa kwa mtu fulani hata moyo, nafsi na akili yako yote itakuwa pale
Sauti yake pekee inaweza kukuvurunga kabisa yaani...
Inakuaje mnafunga ndoa na binti leo alafu siruhusiwi kuondoka na mke wangu mpaka baada ya siku mbili? Nina jamaa yangu leo kafunga ndoa kaja bila mke kisa heti ukoo wake unatakiwa ukae siku mbili...
Waliosema kuishi kwingi kuona mengi hawakukosea hata kidogo.
Wakuu, finally nimependa. Sikujua kwamba wakati wa kuoa ukifika basi hutahitaji kushawishiwa au kulazimishwa. Nimepata kabinti kangu...
KIJANA WETU ANATAKA USHAURI
Read Carefully
🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli...