Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo.
Haija julikana kama...
Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa...
Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa...
Wasalaaam,
Wakubwa shikamoo, wadogo marahaba.
Wahenga wanasema ukistaajabu ya mussa utajashangaa ya firahuni.
Jana was boxing day na kweli familia imepigwa box za kichwa kibao.
Kuna mambo mimi...
Mwanamke anawastani wa kutongozwa mara 3 kwa siku, mara 21 kwa wiki, mara 90 kwa mwezi na mara 1,080 kwa mwaka.
Hata kama mkeo ni mgumu kiasi gani ni vigumu kukataa majaribu yote 1,080 kwa...
Vijana wa kiume wengi bado wanafikiri mwanamke wa kisasa ni kama mama zetu wa miaka ya 60 na 70 waliotulea. Hii inapelekea wengi wao kuingia kwenye mahusiano wakiwa na pure intention.
Kitu...
Wadau kwema pamoja na kuwa mgeni hapa ningependa kushare stori na nyinyi. Mimi ni kijana mwenye miaka 30, nafanya kazi katika ofisi fulani.
Jana, nilipomaliza saa za kazi na kutoka ofisini...
Habari wanajamvi,
Nina mpenzi ambaye nilianza mahusiano naye wakati yeye yupo kidato cha Sita shule moja huko Bukoba.
Binti ni Mnyarwanda, kiukweli ni mzuri sana ukicheki nyoro inakuita...
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.
Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.
Yaani nimebembeleza nimelia hajali...
Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke
Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli...
Watanganyika msidanganyike Zanzibar ni nchi ina sifa zote za kuwa nchi tujipange kudai taifa letu la Tanganyika, Zanzibar wana rais, bunge, mahakama zao, vitambulisho vyao vya taifa lao, wana...
Nipo zangu huku dodoma kwenye harakati za hapa na pale.Ila mademu wapo vizuri tatizo n maushamba ila cio sana.
ila kuna demu wakigogo nmemuona mazingira flan nmemmaind kinyam.ila kabla ya hayo...
Narudia kusema tena hili kwa sauti kubwa HAKUNA MWANAMKE ANAWEZA KUZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA HAYUPO.
Sasa kama umekubali kuishi naye na hata kumlea mtoto wetu pamoja na mzazi mwenzangu na...
Najua kila mtu usiku uingiapo huhitaji kupumzika,lakini unapumzikaje bila hata kuchati na yeyote,unaangalia simu yako labda utakuua sms unakuta hola,unajaribu kumtumia dada wa watu "mambo" ila...
Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.
I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza...
Looking for a way to add some steam back into your relationship? Or just wanting to make that first kiss spectacular? We've got the 10 best places to plant one on your sweetie.
You lucky single...
Huyu binti ni 'mchaga'
Huyu binti katika ujana ujana ule ilitokea akaconceive
Huyu binti alitaka kutoa mimba nikamsihi sana asifane hiyo dhambi,nilimwahidi kwamba nitamlea mtoto,HILO TU...
Kwa hali ya sasa pesa inatangulizwa sana katika mapenzi japo kwa kununua soda au zawadi ndogo au kuweka Vocha kupiga simu.Unaweza kumpata mpenzi kwa sasa kwa kuongea tu bila kutumia fedha?