Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi. Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni...
30 Reactions
753 Replies
49K Views
Natumai mu wazima. Jana usiku mida ya saa sita kasoro, mke wangu ameniaibisha sana. Tumemaliza kula safi tu, sasa kutokana na fan mimi sikuoga kwani nilihisi baridi mno ila yeye alioga. Kabla...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Bila shaka, David Mosher aliamini kuwa mchumba wake, Heather, angepona tatizo alilokuwa akipambana nalo, kansa ya titi. Ndiyo maana alimwahidi kumwoa pindi atakapopona. Lakini ilipogundulika kuwa...
2 Reactions
5 Replies
588 Views
Wakuu nina urafiki na binti mmoja mzuri mno ana asili wa kizanzibar ni pisi kweli watu mtaani wanadhani sisi ni wapenzi ila ni marafiki wakubwa tuna urafiki wa miezi minne sasa wakuu wakati...
14 Reactions
75 Replies
9K Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "Yule mwanaume nitamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
The vocal is special for you Siyabonga... The moon is shining... Stars are brightening the outer space... She (K' Matata) is screwing the guitar badly like the way she spits Spanish... WANT...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Hope mko fine Nilipokuwa kijana nilitamani sana siku nikioa niwe na familia bomba, iliyotulia na isiyo na bugudha. Nilipooa niliweza ishi maisha ya ndoto zangu takribani miaka miwili. No...
3 Reactions
113 Replies
9K Views
Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia. Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Rafiki yangu na ndugu yangu Richard Massawe kutoka Rombo huu ni ujumbe wako Ndugu yangu na marafiki zangu wa MMU naombeni mnisaidie ili napate hela yangu (3,000,000/=) ambazo nilimuazima member...
13 Reactions
107 Replies
12K Views
Katika mahusiano; kwa mara ya kwanza, mwanaume ataangaika na atatumia kila njia ili aweze kumpata mwanamke,na ikiwezekana atatumia kila ushawishi na baadaye anafanikiwa. Sasa baada ya kuzoeana...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Ukweli nimekuwa mtu wa kutokuridhika katika tendo la kujamiiana na Hali hii Kwa sasa inanipa wakati mgumu sana. Yaan naweza kufanya hata muzunguko Saba na kila mzunguko ukachukua minimum dk 50 na...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kwanini mimi kila nikiona wasichana wenye makalio makubwa tentemente mate hunijaa sana mdomon na udenda wenye...
1 Reactions
114 Replies
17K Views
Wakuu jana mchepuko wangu umegoma kabisa kunipa haki yangu. Madai yake ni kwamba eti nimfukuze mama watoto nyumbani then nimuoe yeye. Yaani mimi nitupe friji nje halafu niweke deli la askirimu...
17 Reactions
63 Replies
7K Views
Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia...
14 Reactions
51 Replies
4K Views
Hello, women, Hakuna kitu kibaya kama mwanamke kuchezea alimashauri zake, kwani mtoa slid asipokuwa mume wako atakayekuoa, ndoa ndipo zinapoanza kuwa na changamoto, wengi wetu kama wanaume huwa...
23 Reactions
308 Replies
77K Views
Fikilia wakati unamtokea mke wako ulimkuta yuko kwenye love na mwanaume mwingine mbaya zaidi ukampora jamaa,vile vile katika mastory na wife wako anafunguka na kukwambia wanaume aliotembea nao sio...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Back
Top Bottom