Nellia
Member
- Sep 3, 2018
- 42
- 60
Habari.mwaka Jana nilikuja na thread haapa ya kusaka mwenza ambaye ana maambukizii kama mimi.ninashukuru wooote mlionifata pm !!wengine tuliishia kuchart ,wengine tulipotezeana kiaina,kuna huyoo mmoja mungu alipanga apate mke kupitia mimi!huwezii amini nilikuwa na uhitaji mnoo kwa kipindii kile sababu nilihisii kuna mambo hayajakamilika katika maisha yangu.Alijitokeza kaka mmoja mstaarabu sanaa ,mpole ,very humble .Binafsi yangu sikumpenda kutokana na sababu zangu japo ana kazi nzuri,body nzuri na tulikuwa na same status,sorry nilikudanganya nimeshapata mtu NA nikakuunganisha na rafiki yangu mwenye maambukizii pia sikuwa nimepata but nilipenda rafiki yangu apate furaha anayowish kuipata.hahahhahahah nimefurahi sanaa ile siku naambiwa unaenda kutoa maharii kwao mpaka nililia,kumbe mungu anaweza kukufanya njia ya kumfanya binadamu mwenzako apate furaha na faraja aliyokuwa akiifikiria kuwa nayo maishani mwake.Am happy for you Mr naniliu!!yaaani nimefurahi mnooo na asante kwa wana jamiii forum kiukweli nimeona kama maajabu kwa namna nilivyowakutanisha hawa watu kimaajabu.ninaamini ni chaguo lako halisi mm huenda hata ningekukubali kwa muda ule ..huenda tusingefika mbali.Tungeishia njiani lakini now umebadirika umenenepa umependeza amekutoa pabaya ninakuombea mema yoooote Mr kila siku ikawe mpya katika maisha yenu .masikini umenyanyasika hapoo nyuma lakini mungu kakupa chaguo lako kupitia mimi na jamii forum .ASANTENI WOOOOTE.