Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

Sitaoa mwanachuo kwa jinsi ninavyoona wanavyochezewa

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,494
Reaction score
5,396
Kwa ninavyoona wanavyotumika hivi, nikioa mwanachuo yabidi nipimwe mkojo.

Wakina dada wa chuo hamuoneagi huruma huo mwili wenu? Popote unatumika tu si hostel, geto za masela au gest .

Yani kisa dinner tuu mtu kukulisha ndo unatoa mwili wako? Hata kama hali ni mbaya au huna boom ila si kiivyo.

Au ndo huo uhuru mnaokuja kuupataga chuo wawafanya mjisahau?

#Samahani_kwa_wale_wachache_wanaojitunza
 
Wakifika chuo wanakuaga wapuuzi kweli kweli.

Kuna mmoja alikuja kuomba ushaur humu, afanyaje achane na bwanake anayemla Tigo[emoji23].

Sema nn ,kwaiyo akishamaliza chuo ndo utaoa???.

Alafu nikm vile aka kastori wee ndo umekatenda kwa mwanachuo.
 
Usionee wa kike tuu, nadhani ngoma droo, huko hostel hao wa kike wanaliwa na nani?? Wakienda kwa daddy huku kwa mummy!!

Wanayoyaandaa ndiyo watayoyakuta ukubwani, wataoana wenyewe.
 
acha ushamba Wa kijijini dogo. chuoni kuna makindi yote ya wagongwaji hadi walokole.


hata vifom three vinagongwa sana, oa mke Wa chaguo lako.


ova
 
Back
Top Bottom