Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Lamine Yamal ni kijana mdogo tu wa miaka 17 sasa, ambaye tayari ameshajipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kusakata soka, ni mchezaji tegemeo Barcelona na pia juzi juzi tu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
guest-1787677726
Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV. Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia: "Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu." Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na...
62 Reactions
293 Replies
9K Views
Nyie mnaolalamika wanawake wa sikuhizi wanapenda hela inaonesha hamjakaa na bibi zenu wakawaambia maisha yalivokuwa kipindi hicho miaka ya 1940, 50, na miaka ya zamani mingine. Mwanamke alikua...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari.. Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa. Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi...
1 Reactions
12 Replies
869 Views
Nimekuja kugundua mabinti wengi ambao wanakutana na ugumu wa kuolewa, inafika hatua wanatamani tu walau kupata mtoto. Mabinti kumbe uwa mnatamani sana kulea, kuna ka feelings flani huwa...
1 Reactions
9 Replies
779 Views
My Take: Huu ndio Ubaya Ubwela wenyewe Sasa.😁😁😁👇👇 --- Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa...
14 Reactions
128 Replies
5K Views
MPELELEZE KABLA HUJAANZA NAYE MAHUSIANO ILA ASIJUE KAMA UNAMPELELEZA ✍️ Wajuvi husema ukiona siti haikaliwi usikuikurupikie bali peleleza kwa kina kwanini inakwepwa? Ukijua sababu ndio jipime...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo. Huko walikotoka wanaume wenzetu...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
Anaandika, Robert Heriel Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia...
42 Reactions
272 Replies
16K Views
Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetezi...
14 Reactions
112 Replies
10K Views
Wakuu..mimi ndugu yenu ninaombeni ushauri na msinichoke,muda huu ninavyoandika nikielezea hali inayonisibu sasa hivi na ni live sio kama naota. Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu naomba ushauri. Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi...
84 Reactions
608 Replies
52K Views
Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
22 Reactions
102 Replies
7K Views
"Until you loose your job and run out of money, break down and suffer loss, you will never know the true character of the woman you are claiming she loves you. Most women are fair weather women...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi.. Naenda kiumri ~ Age 8 - Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi...
1 Reactions
2 Replies
641 Views
Back
Top Bottom